Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama (kushoto) akimkabidhi msaada wa fedha taslimu sh. milioni moja mchezaji
wa zamani wa Simba, Mtibwa na Taifa Stars, Alphonce Modest kwa ajili
ya kumsaidia katika matibabu ya ugonjwa wa mifupa unaosababisha miguu
kufa ganzi ‘yabisi baridi’. Modest nasumbuliwa na ugonjwa huo tangu
mwaka 2011. Kwa yeyote anayeguswa na tatizo lake awasiliane na
mtangazaji wa Chanel 10, Said Kilumanga (wa pili kulia) kwa kupitia
namba 0718 427426. Wa Pili kushoto ni Mhariri Kiongozi wa Champion, Saleh Ally.
Beki
wa zamani wa Simba na timu ya Taifa, Alfonce Modest akimshukuru
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions baada ya kumsaidia kiasi cha
sh milioni moja kwa ajili ya kuanza matibabu ya miguu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)