Mkurugenzi
wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani
ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala jijini Dar es
Salaam jana, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za wasanii
inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi
Mkurugenzi
wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani
ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala.
Msama akionyesha mashine zinazotumika katika kurudufu kazi za wasanii.Picha Kwa Hisani Ya HABARI MSETO BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)