Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Michezo Bwana Leornad Thadeo akifungua Mkutano wa wadau
uliojadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya
wanamichezo nchini.Mkutano huo ulifanyika jana jijini Dar es Salaam
katika ukumbi wa British Council
Mkurugenzi wa
Miradi kutoka British Council Andrew Piner akifunga mkutano wa siku moja
uliokusanya wadau mbalimbali kutoka taasisi mbalimbali.Mkutano huo
ulijadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya
wanamichezo nchini.
Baadhi ya wadau wa
michezo nchini wakisikiliza hotuba kutoka kwa mgeni rasmi ambaye ni
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bwana Leornad Thadeo hayupo
pichani.Mkutano huo ulijadili mfumo wa ushiriki katika michezo na
uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini.Picha na Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari,Vijana Utamaduni na Michezo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)