Mkurungenzi
wa mashtaka (DPP)Dk.Ellezer Feleshi (kulia) akiongea na waandishi wa
habari baada ya kufungua semina ya wapelelezi.polisi,mahakimu,na
majaji,Dr Ellezer alisema mafunzo hayo yanahusu mbinu za kisasa za
kukabiliana na uhalifu wa utakatishaji wa fedha,biashara madawa ya
kulevya,utaifishaji wa mali zilizopatikana kwa njia ya haramu na masuala
ya ugaidi,semina hiyo ilifanyika katika hotel ya Kunduchi Beach nje
kidogo ya jiji la Dar es salaam jana.
Baadhi ya mahakimu na majaji na
polisi wakiwa katika semina hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi
Beach jijini Dar es salaam jana.
Mkurungenzi
wa mashtaka (DPP)Dk.Ellezer Feleshi akiwa kwenye picha ya pamoja na
majaji pamoja na mahakimu na washiriki mbalimbali wa semina hiyo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)