Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akisikiliza jambo kwa umakini.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumza na
Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande
ofisini kwake mapema leo mjengoni hapo,ambapo baadaye pia alifanya
ziara fupi na kujionea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo namna
ambavyo vinafanya kazi.
Mazungumzo yakiendelea ya hapa na pale.
Mkurugenzi
wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na mgeni wake Kiongozi
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande.
Mkurugenzi
wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na wageni wake mara baada
ya kufanya mazungumzo nao mapema leo,kwenye ofisi za kampuni
hiyo,Mikocheni jijini Dar.
Kiongozi
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akiondoka
taratiibu mjengoni Clouds Media Group mapema leo mara baada ya kufanya
ziara fupi kwenye ofisi hizo na kujionea mambo lukuki yanayofanywa na
kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)