Mchekeshaji
Steve Nyerere akiongoza jahazi la Skylight bendi huku pembeni akiwa ni
mshreheshaji wa shughuli hiyo Beny Kinyaiya. Hii ilikuwa ni katika
uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika hoteli ya Graffe Ocean View
jijini Dar.
Mchekeshaji
Steve Nyerere akionyesha manjonjo yake. Anakwambia, "Mdomo biashara
ndiyo maana kila mtu amepewa kipaji chake cha kutafuta hela.
Watu walijitokeza kwa wingi kuiunga mkono bendi yao.
Justine Ndege akiwa katika uso wa furaha.
Show Love nayo ilikuwepo.
Wadau wakifuatilia kwa makini.
Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa na wanamuziki wa Skylight bendi wakiwasha moto.
Mwanamuziki Joniko Flawa akiwa na Mchekeshaji Steve Nyerere.
Wadau wakijiachia kwa shangwe.
...haya twendeeeee
... jiachieeee kwa raha zako
Kulia... kushoto
Vimwana wa Skylight bendi wakionyesha umahili wao.
... Bwana Goodluck na mkewe wakishow love
Sam Machozi akimwaga burudani
... ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Jonoko Flawa akimwaga mauno mbele ya wadau.
Uongozi mzima wa Skylight bendi ukifuatilia.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)