Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (kulia)
akitoa maelezo ya utangulizi kwa Wajumbe wa Tume kabla ya kumkaribisha
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu Jaji Mark Bomani (kushoto)
kubadilishana uzoefu na Wajumbe wa Tume jijini Dar es Salaam jana,
Wengine ni Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid na Naibu Katibu Bw. Casmir
Kyuki (kulia).
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali wa Kwanza Mzalendo Jaji Mark Bomani akibadilishana
uzoefu na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano
uliofanyika katika ofisi ya Tume jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni
Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba na kushoto ni Mjumbe wa Tume Dkt.
Salim Ahmed Salim.
Baadhi
ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakifuatilia maelezo ya Jaji
Mark Bomani aliyekutana nao kwa lengo la kubalishana uzoefu kuhusu
Katiba. Mkutano huo ulifanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam
jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)