Mtangazaji
wa Radio Times 100.5 Scholastica Mazula akizungumza na waandishi wa
habari kwenye magahawa wa City Sports Lounge Posta jijini Dar es salaam
wakato alipomtambulisha rasmi Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na
kituo hicho cha redio hiyo. Hivi karibuni atakuja na kipindi kipya
kinachokewanda kwa jina la “Maskani” kitakachozungumzia mambo mbalimbali
katika jamii, katika picha kushoto ni Gadner G. Habash mwenyewe na
kulia ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Cliford Ndimbo.
Kapten
Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio na kutangazia
umma rasmi akizungumza na wanahabari pamoja na watangazaji wenzake,
wanaofuatia katika picha ni Scholastica Mazula, Criford Ndimbo na Dida
wa Mchops.
Baadhi
ya watayarishaji wa vipindi na watangazaji katika redio hiyo watatu
kutoka kulia ni mkoloni aliyewahi kuvuma na kundi la Wagosi wa Kaya.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)