Balozi Profesa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kushinda kesi yake katika mahakama ya kisutu leo.
Wakili wa Balozi Profesa Mahalu Bw. Alex
Mgongolwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mteja wake
kushinda kesili iliyokuwa ikimkabili kwenye mahakama ya Kisutu jijini
Dar es salaam.
Balozi
Profesa Mahalu katikati akitoka nje ya mahaka ya Kisutu huku akiwa
ameongozana na mdogo wake Mirasi Rama kulia ni Wakili wa kujitegemea
Mabere Nyaucho Marando.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)