Baadhi
ya wakazi wa kitongoji cha Makole Mkoa wa Pwani wakiangalia ajali ya
gari iliyotokea leo katika eneo la Mto Wami na kusababisha vifo vya watu
11 wote wakiwa raia wa Kenya.
Basi
lililokuwa limewabeba raia wa Kenya waliokuwa wakielekea jijini Dar es
salaam kwa ajili ya mikutano ya injili likiwa limetumbukia katika
korongo jirani na Mto Wami na kuua watu 11 katika Kijiji cha Makole Mkoa wa Pwani.
Baadhi ya abiria walionusurika wakiwa katika eneo la tukio kabla ya kupata msaada.Picha Kwa Hisani Ya Habari Mseto Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)