TASWIRA ZA PAPAA MUSOFE ALIPOFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO KWA TUHUMA ZA MAUAJI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA PAPAA MUSOFE ALIPOFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Marijani Abubakar Msofe ‘Papaa Musofe’ (58) akiingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, kwa ajili ya kusomewa mashitaka katika kesi ya mauaji inayomkabili
 Papaa Musofe akiandikisha jina kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo
 Papaa Musofe akipandisha ngazi za mahakama ya Kisutu kwenda kusomewa shitaka la tuhuma za mauaji
 Papaa Musofe akipanda gari ya polisi kurejea mahabusu baada ya kusomewa shitaka la mauaji kwenye mahakama ya Kisutu
Papaa Musofe wa pili kulia, akiwa amekaa kwenye gari ya polisi chini ya uangalizi mkali, tayari kwa safari ya kurudi mahabusu.Picha Kwa Hisani Ya Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages