Kundi la wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini, wakiwa na
mabango jana katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam,
kushinikiza madaktari waache mgomo
Kiongozi wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya Juu, Abubakar Assenga
akizungumza na waandishi wa habari baada ya maandamano yao kufika
Muhimbili kushinikiza madaktari kuacha mgomo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)