VODACOM NA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA MAONYESHO SABASABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VODACOM NA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA MAONYESHO SABASABA

Wakala wa Vodacom M PESA akitoa huduma ya M- PESA kwa mteja alietembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es. Kampuni ya Vodacom Inashiriki katika maonesho hayo kama mdhamini rasmi wa mawasiliano.
Wateja waliojitokeza katika maonesho ya biashara ya Kimaifa Dar Es salaam (sabasaba) wakipewa maelekezo na wafanyakazi wa kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania,namna ya kutumia simu ya ZTE 502 inayouzwa kwa shilingi elfu 13 katika maonyesho hayo.
Mteja aliejitokeza katika maonesho ya sabasaba akipata maelezo ya namna ya kutumia simu ya ZTE 502 pia iliyokuwa na muda wa maongezi wa shilingi elf 6000 na kuuzwa kwa shilingi elfu 13 ikiwa ni ofa maalum katika maonesho hayo ya sabasaba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages