WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akichangia hoja wakati
wa kongamano la kujadili katiba lililofanyika katika ukumbi wa karimjee
Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Umoja wa Wanafunzi wa Elimu ya
juu nchini (Tahliso). Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph S. Warioba na kushoto kwake ni
Mwenyekiti wa Tahliso, Paul Makonda.
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph .S. Warioba (aliyesimama) akizungumza
wakati kongamano la kujadili katiba lililofanyika katika ukumbi wa
karimjee Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Umoja wa Wanafunzi wa
Elimu ya juu nchini (Tahliso). Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi Dk.
Harrison Mwakyembe na kushoto kwa Jaji Warioba .ni Mwenyekiti wa
Tahliso, Paul Makonda.PICHA KWA HISANI YA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)