Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania
(MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati
akiingia Mahakamani leo Jijini Dar es Salaam kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini..
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania
(MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Kuibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini..
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania
(MAT), Dk Namala Mkopi (kulia) akiongozana na baba yake mdogo, Hilary
Chinendachi mara baada ya kupata dhama katika Mahakama ya Hakimu
Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania
(MAT), Dk Namala Mkopi akipeana mikono na baadhi ya madaktari waliofika
kujua hatma yake baada ya kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kukaidi amri
ya Mahakama ya kutaka kusitisha mgomo wa madaktari.
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania
(MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi (katikati), pamoja na
baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kuapata dhama katika
Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.Pihca Zote na Mdau Dande Francis
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)