Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba wakati akifungua Mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam