Mchungaji wa KKKT na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo Aelezea Kitabi Chake Kitakachomsaidia Mwanafunzi Kuandaa Kuandika Utafiti Kwa Urahisi Kwa Kutumia Lugha ya Kiswahili - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mchungaji wa KKKT na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo Aelezea Kitabi Chake Kitakachomsaidia Mwanafunzi Kuandaa Kuandika Utafiti Kwa Urahisi Kwa Kutumia Lugha ya Kiswahili

 Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (leo) jijini Dar es salaam kuhusu kitabu chake alichoandika kitakachomsaidia mwanafunzi kuandaa kuandikKitabu hicho kitakuwa mitaani kwa shilingi elfu 10 tu.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari  (leo) jijini Dar es salaam kitabu chake alichoandika kitakachomsaidia mwanafunzi kuandaa kuandika utafiti kwa urahisi kwa kutumia lugha ya kiswahili. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EGYS ambaye ni mchapishaji Mkumbo Mitula. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages