Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk.Ali Mohamed
Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya
skuli ya Pagali Mkoa wa Kusini Unguja leo(kulia) Mwakilishi wa jimbo la
Uzini Mohamed Raza, (wa pili kulia) Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi. (Picha zote na Ramadhan Othman,
Ikulu).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mohamed
Raza,mara baada ya kuzindua madarasa mapya ya skuli ya Pagali Mkoa wa
Kusini Unguja.
Baadhi
ya Wanafunzi wa Skuli ya Pagali Mkoa wa KusiniUnguja wakiwa katika
sherehe za uzinduzi madarasa mapya uliofanywa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)