Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika
katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifa
sahihi ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Sky Get ikitokea Dar es Salaam
kuelekea Unguja. (Picha na Ramadhan Othman, IKulu)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)