Wakazi
wa Zanzibar wakiwa wamekusanyika katika Bandari ya Malindi mjini Unguja
Zanzibar jioni ya leo wakati miili ya baadhi ya abiria wa Boti ya
Seagal "MV Skagit" wakitolewa baada ya boti hiyo kuzama na kupoteza
maisha ya watu zaidi ya 200 hii leo ikitokea jijini Dar es Salaam.
Askari wa JWTZ wakiwa wamejipanga wakati wa zoezi la kupokea maiti.
Moja ya maiti ikiwa imebebwa na askari
Maiti ingine ikiwa imebebwa...
Ni
hali ya huzini Visiwani humo na jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa
ujumla. Ajali hii imetokea ikiwa imepita miezi kadhaa baada ya meli
nyingine ya Abiria kupoteza uhai wa watu visiwani humo. Picha na Daily Mitikasi Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)