Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Atoa Msaada Wa Matrekta - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Atoa Msaada Wa Matrekta

 Sehemu ya Matrekata hayo
 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akijaribu moja ya matrekta matatu aliyokabidhi kwa wawakilishi wa Kijiji cha Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma. Makabidhiano hayo yalifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akipga makofi wakati wa kukabidhi matrekta matatu kwa wawakilishi wa kijiji cha Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma. Makabidhiano hayo yalifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.Picha na Mdau Dande Francis

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages