RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISAMAILI DUNIANI H.H. THE AGA KHAN IKULU LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISAMAILI DUNIANI H.H. THE AGA KHAN IKULU LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mikono na  Mkuu wa madhehebu ya Shia, Ismailia duniani, H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages