Kiongozi wa Bendi ya Mashujaa,Chalres Gabriel a.k.a Charles Baba
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuni
wakati wa kutangaza uzinduzi wa video yao mpya inayokenda kwa jina la
"Risasi Kidole".Kushoto ni Meneja wa Bendi hiyo,Martin Sospeter.
Sehemu ya video ya waimbo wao huo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)