KIKUNDI
cha Vijana wa ngoma za asili cha Kyela mkoa wa Mbeya kilikuwa burudani
kubwa wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa bonde
la mto Songwe uliohusisha nchi mbili za Tanzania na Malawi,vijana hao
walionyesha uwezo mkubwa wa kucheza ngoma za asili
WAZIRI wa Uchukuzi nchini Tanzania,Dk
Harrison Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Maendeleo ya Maji na
Umwagiliaji kutoka Malawi,Ritchie Bizwick Muheya wakifungua kitambaa
kilichowekwa kwenye jengo jipya la makao makuu ya Mradi wa
Maendeleo ya Mto Songwe mjini Kyela mkoa wa Mbeya juzi ulipozinduliwa
rasmi.
WAWAKILISHI kutoka Malawi na Tanzania
wakipiga picha ya pamoja baada ya Waziri wa Uchukuzi,Dk Harrison
Mwakyembe(wa tatu kutoka kulia walioketi) alipomaliza kuzindua mradi wa
maendeleo ya mto Songwe anayefuatia upande huo ni Waziri wa Maendeleo
ya Maji na Umwagiliaji wa Malawi,Ritchie Bizwick Muheya na Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo Malawi, Sandaram Maweru,Kutoka kushoto ni mwakilishi wa
AfDB,DanielVerdeil,Katibu Mkuu wizara ya Maji, Christopher
Sayi na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro.Picha Zote na Christopher
Nyenyembe-Kyela
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)