Watanzana wameombwa kujitokeza kwa wingi
katika kuwashingilia wanamichezo watanzania wanaoshiriki katika michezo
ya Olympic huko London, wito huo umetolewa na bendi maarufu ya Ngoma
Africa aka FFU, yenye makao yake Ujerumani.
Bendi ya Ngoma Africa inawaombea mafanikio na ushindi wanamichezo wa Tanzania,
Tuwaomba watanzana
na marafiki wa Tanzania pamoja taha sisi
mbali mbali zilizopo Uingereza na ughaibuni kujitokeza kwa wingi na
kuzipeperusha bendera za Tanzania kwa kuwashingilia wanamichezo wetu,kwa
shangwe, shangwe na mayoe ! Tanzania ! Tanzania! Tanzania!
oyeeeeeeeeeee!
Mungu wabariki wanamichezo wetu! www.ngoma-africa.com
Mungu Ibaraiki Tanzania !
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)