NMB BANK @ SABASABA GROUNDS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NMB BANK @ SABASABA GROUNDS


Ofisa Mikopo wa NMB, Donatila Wapalila akitoa vipeperushi kwa mteja wa benki hiyo katika banda la NMB
 Waoto waliofika katika banda la NMB wakisoma bango lenye sehemu ya jarida la NMB  Financial Fitiness katika la  NMB katika viwanja vya Maonesho ya 36 ya  Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam
   
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akitoa elimu ya matumizi ya fedha  kwa watoto waliofika katika banda la NMB.
Meneja  Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akitoa Jarida la NMB Financial Fitness kwa watoto waliotembelea banda la NMB
Ofisa wa NMB, Salum Mnuna akito elimu ya mnatumizi ya fedha kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika jijini Dar es Salaa, waliofika katika banda la NMB katika maonesho ya Sabasaba.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika wakisoma bango lenye sehemu ya jarida la NMB  Financial Fitiness katika la  NMB katika viwanja vya Maonesho ya 36 ya  Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika wakisoma Jarida la NMB Financial Fitness
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika pamoja na watu mbalimbali wakiwa katika banda la NMB

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages