Mkuu
wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa amewaaliki washindi wa shindano la
kumsaka Mrembo wa Mkoa wa Mara Ofisini kwake na kuwapongeza kwa
kuwatakia Mashindano mema kwa hatua inayofuta ya Kanda ya Ziwa
itakayoshirikisha jumla ya Mikoa (6) ambayo ni Mara, Mwanza, Kagera,
Shinyanga, Geita na Simiyu. Warembo hao ni Miss Mara namba moja Aisha
Bakari, No 2 Eugenia Fabiano na No 3 Jacqueline Mzava
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa akizungumza na warembo ofisini kwake.
Picha ya pamoja ilipigwa na viongozi
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa na warembo.
Mtaribu wa shindano hilo Godsos Mukama akila pozi na warembo wake.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)