Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro ambaye ni
mshindi wa Shindano la maswali yanayoendeshwa na knywaji cha Castle
kupitia mtanda wa kijamii Facebook Yona H. Mbena, akipokea zawadi yake
ya katoni moja ya kinywaji hicho kutoka kwa Meneja wa kinywaji hicho
Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano hilo la kujibu
maswali ya Mpira ya Michuano ya Euro iliyomalizika usiku huu.Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro ambaye ni
mshindi wa Shindano la maswali yanayoendeshwa na knywaji cha Castle
kupitia mtanda wa kijamii Facebook Yona H. Mbena, akipokea zawadi yake
ya katoni moja ya kinywaji hicho kutoka kwa Meneja wa kinywaji hicho
Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano hilo la kujibu
maswali ya Mpira ya Michuano ya Euro iliyomalizika usiku huu.
Mwanafunzi wa
CBE Deric Laurence, akipokea zawadi yake ya kinywaji Cha Castle kutoka
kwa meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi
wakujibu maswali ya Kombe la Euro kupitia mtandao wa kijamii Facebook.(
picha zote kwa hisani ya Intellectuals communications ltd)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)