Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitafa, Mjini Zanzibar Julai
14,2012.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif wakiteta katika Mkutano wa Kamati
ya Sensa ya Kitaifa uliofanyika Mjini Zanzibar , Julai 14,2012.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)