TIMU
ya mashabiki wa Manchester United imeibuka bingwa wa tamasha la
Serengeti Fiesta Soccer Bonanza baada ya kuwafunga Barcelona kwa
penalti 5-4, kufuatia sare ya bila kufungana, kwenye TCC, Chang’ombe,
Dar es Salaam. Tazama picha za mechi hiyo na shamrashamra za ubingwa
wao. Barcelona walipewa Kombe pia la mshindi wa pili na bia zaa kumwaga
za Serengreti.
Fulu kushangilia
Kombe hiloooooooo....
Washindi wa pili hao Barcelona.
Mkwaju wa penati ukiokolewa hapo
Patashika ya nguo kuchanika ilikuwa ...
Picha Na Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)