Bw.
Salvatory Herald wa pili kutoka kushoto akipongezwa na ndugu, jamaa na
marafiki pamoja na baadhi ya wakazi wa tanga waliohudhuria katika
hafla fupi ya kukabidhiwa zawadi ya jenereta mpya aliojishindia kupitia
promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO NA SBL, inayoendeshwa na
kampuni ya bia ya Serengeti hapa nchini.
Meneja
masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Bw Eben Sauli kushoto
akimpongeza Salvatory Herald baada ya kumkabidhi zawadi ya jenereta
aliojishindia .
Bw Salvatory akieleza hisia zake baada ya kukabidhiwa jenereta kutoka sbl.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)