Wajumbe wa kukusanya maoni ya Katiba mpya wakiandika maoni ya wananchi huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Shukuru Ramadhani akitoa maoni yake
kuhusu katiba mpya huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Ukusanyaji maoni ya Katiba Mpya Mohd Yussuf Mshamba
akifahamisha namna ya utoaji wa maoni unavyotakiwa huko katika kijiji
cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Mwanapili Haji Mussa akipeleka maoni yake
kwa njia ya Barua yanayohusu uundwaji wa katiba Mpya kwa wajumbe wa
Ukusanyaji maoni hayo huko Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)