Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, Asha-Rosre Migiro, wakati alipofika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 24, 2012 kwa ajili ya
kushukuru baada ya kumaliza muda wake wa kazi katika Shirika hilo la Kimataifa
UN. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)