Mratibu wa Coconut Fm Ali Khatib Dai (kushoto) akimkabidhi rambirambi makamu wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kiasi cha shilingi milioni moja (1,000,000/-) ofisini kwake Vuga mapema leo
Meneja wa Coconut Fm Husna Abdul akisalimiana na Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar walipokwenda kukabidhi rambirambi kufuatia ajali ya meli ya MV Skagik.
Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa maelezo kwa mratibu wa Coconut Fm Ali Khatib Dai kuhusiana na hali inayoendelea kuhusiana na ajali ya kuzama kwa meli ya MV Skagik
Prime Time Promotion kupitia kituo chake cha redio Coconut Fm kimekabidhi rambirambi ya kiasi cha shilingi milioni moja (1,000,000/-) kwa makamu wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufuatia na kuguswa kwake ajali ya kuzama kwa meli ya MV Skagik.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)