MAJAJI WA SHINDANO LA EPIQ BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA BANDA LA ZANTEL SABASABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAJAJI WA SHINDANO LA EPIQ BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA BANDA LA ZANTEL SABASABA

MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI WAKATI MAJAJI WA SHINDANO LA EPIQ BONGO STAR SEARCH WALIPOTEMBELEA KATIKA BANDA LA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA ZANTEL KWENYE VIWANJA VYA SABASABA JANA
MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA ZANTEL.
: MADAM  RITAH  NA SALAMA JABIR  WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA
MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO.
MADAM RITAH AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA
MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITAH, SALAMA JABIR  NA MASTER J. WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages