Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa
mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya
kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia
Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano wa masumbwi kwa ajili
ya kumuenzi bondia Magoma shabani yaliyofanyika jana katika Mkoa wa
Tanga.
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu 'Spins' ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo jana.
Bondia Ramadhani Mbwana kushoto
akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika
Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu
Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
Bondia Yusufu Ally kushoto na Adam Yusufu wakioneshana ufundi wa
kutupiana masumbwi wakati wa mchezo huo kwa ajili ya kumkumbuka na
kuchangia Bondia Magoma Shabani alifariki Dunia hivi karibuni Mkoa wa
Tanga Adamu Yusufu alishinda kwa Point mchezo huo
MABONDIA patrick kimweri na ramadhani mbwana wakioneshana ufundi wa
kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na kumchangia bondia
Magoma Shabani Aliefariki Dunia Picha na www.superdboxingcoacvh. blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)