MABONDIA JUMA FUNDI NA BAINA MAZOLA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABONDIA JUMA FUNDI NA BAINA MAZOLA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO

Bondia Baina Mazola kushoto akitunishiana misuri na Juma Fundi wakati wa upimaji wa uzito uliofanyika leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa TPBO utakaofanyika Jumapili Kesho katiku ukumbi wa DDC Kariakoo.
Bondia Juma Fundi akipima uzito kwa ajili ya mpambasno wake na Baina Mazola kushoto utakaofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo jumapili ya kesho.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages