Mkurugenzi wa Extra
Bongo Ally Choki akiimba mbele ya mamia ya washabiki wake jana usiku ndani ya
Ukumbi wa New White House Kimara Korogwe
Msanii wa kizazi
kipya Bongo Fleva Matonya akiwarusha mashabiki wa Extra bongo usiku wa kuamkia
leo ndani ya New white house Kimara Korogwe.
Q chif akiimba kwa
hisia kali usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa New white house Kimara
Korogwe katika show kali ya Extra bongo ya kuwaaga mashabiki wao, usiku wa leo
wanaelekea Finland kwa mwaliko rasmi wa kwenda kufanya show kadhaa
huko.
Chid Benz kama kawa
akiwarusha mashabiki wake.
Matonya na Q
Chif
Choki na Chid
Benz
Ally Choki
akimsikiliza kwa umakini mdhamini mkuu wa Bendi yake Chif Kiumbe, wakati wa show
ya kuwaaga washabiki na wapenzi wao iliyofanyika ndani ya ukumbi wa New white
house Kimara Korogwe
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)