Wachezaji
wa timu Spain, wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 dhidi ya Italy
baada ya kumalizika kwa mchezo huo wa fainali uliochezwa jana usiku
katika uwanja wa Olympic, huku Italy wakionyesha kuzidiwa kimchezo hadi
mwisho.
Fernando Torres, ambaye ni mmoja kati ya wafungaji kati ya mabao 4 (kulia) akibusu Kombe baada ya kukabidhiwa kombe hilo.
Mario Balotelli, (kulia) akimtoka beki wa Spain wakati wa mchezo huo.
Balotelli, akiwa hoi bila kuamini kilichowatokea baada ya kumalizika kwa mchezo huo jana usiku.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)