Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Barcelona wakichuana vikali na wachezaji wa timu ya mashabiki wa Chealsea katika bonanza hili timu hizo ndiyo zilizofungua dimba. |
Mratibu wa Serengeti Fiesta Soccer Bonanza Shafii Dauda akitoa maelekeza kwa timu za mashabiki wa Chealsea na Barcelona kabla ya kuanza kwa mtanange wao. |
Timu ya mashabiki wa Manchester Unitedi wakishangilia wakati wimbo wao ulipokuwa ukipigwa. |
Timu ya Mashabiki wa Chealsea nao wakiimba wimbo wao kabla ya kuanza kwa bonanza hilo. |
Timu ya mashabiki wa Arsenal wakiimba wimbo wao huku wakishagilia. |
Nao Barcelona hawakuwa nyuma wakirukaruka kwa furaha mara baada ya kupigiwa wimbo wao. |
Hawa ni Real Madrid kama unavyowaona katika picha wakishangilia na kucheza wakati wimbo wao ukipigwa. |
LiverPoool wakishangilia kwa nguvu wimbo wao. |
Mwamuzi wa mchezo huo akitoa maelekezo kwa timu za Chealsea na Barcelona kabla ya kuanza kwa mchezo huo. |
Timu zote zikiwa zimejipanga tayari kwa kupigiwa nyimbo zao kabla ya kuanza kwa bonanza hilo kwenye viwanja vya TIA Mbeya. |
Peter Kabaisa mmoja wa wafanyakazi akigawa jezi za kuchezea kwa makapteni wa timu hizo. |
Mshauri nasaha wa masuala ya ukimwi Flora George akitoa elimu kwa maadhi ya mashabiki waliofika katika banda la KIHUMBE |
Timu ya Bayern Munichen ikishagilia kwa nguvu kufurahia wimbo wao katika bonanza hilo. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)