Gari
la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali
katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi.
Hali ndivyo ilivyokuwa.
Barabara ilikuwa imefungwa na kusababisha msongamano mkubwa.
Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea ajali na kusababisha kufungwa kwa barabara.
Mtangazaji
wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama
wa Umma Bw. Fikiri akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Picha Na Kajunason Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)