Wakazi wa Segerea wakiwa wamejitokeza katika kujiandikisha Kwaajili ya Kupata Vitambulisho vya Taifa katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Wa Migombani uliopo Tabata Segerea.Zoezi Bado linaendelea Na Wananchi wanaombwa Kujitokeza kwaajili ya Zoezi hili.
-








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)