Meneja
Uhusinao wa Airtel, Jackson Mbando, akizungumza katika uzinduzi wa
promotion kabambe kwa wateja wao ijulikanayo kama “kula Dabo” kupitia
huduma ya Airtel Money. Uzinduzi wa promotion hiyo ameufanya leo katika
viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam(DITF)
maarufu Saba Saba yanayopendelea katika barabara ya Kilwa jijini.
Meneja
Uhusinao wa Airtel, Jackson Mbando,(aliye chuchuma mbele) akipiga picha
ya pamoja na baadhi ya vijana wanaotoa huduma mbalimbali katika banda
la Airtel, baada ya uzinduzi wa promotion kabambe kwa wateja wao
ijulikanayo kama “kula Dabo” kupitia huduma ya Airtel
Money. Uzinduzi wa promotion hiyo ameufanya leo katika viwanja vya
Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam(DITF) maarufu Saba Saba
yanayopendelea katika barabara ya Kilwa jijini.
Lango kuu la kuingilia katika Kijiji cha Airtel katika viwanja vya Maonesho saba saba
Wateja wakipata huduma katika vibanda vilivyopo Kijiji cha Airtel
Chumba maalum cha Internet
full kujiachia na 3.75G ya internet ndani ya kijiji cha Airtel
Wengi wanaingia kijijini hapa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)