Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda
wakikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa Ndege wa Kigali jana.
Rais Kikwete alihudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Rwanda
zilizofanyika leo katika Uwanja wa Michezo wa Amahoro jijini Kigali. 
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda
wakipokea haeshima za marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria maadhimisho ya
miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda leo asubuhi
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda
wakiteta jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Rwanda
zilizofanyika leo katika uwanja wa michezo wa Amahoro jijini Kigali.(Picha na Freddy Maro).





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)