.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni
jana, Juni,6, 2012 kwenye uwanja wa Polisi, mji wa Makambako, wilaya ya
Njombe mkoa mpya wa Njombe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ,
akizindua tawi la CCM, Ubena Makambako, akiwa katika ziara ya
kuimarisha uhai wa chama mkoani Njombe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akisakata muziki na kijana Kata ya Ilembula, kabla ya kuhutubia mkutano
wa hadhara kwenye Kata hiyo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,
akizungumza na wazee wa Kata ya Ilembula wilaya ya Wanging'ombea akiwa
katika ziara ya kikazi mkoani Njombe.
Vijana wakionyesha umahiri wa kucheza sarakasi walipotumbuiza wakati wa mkutano wa CCM kwenye uwanja wa Polisi Makambako.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipiga ngoma.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)