Rais Dk. Shein akutana na Balozi wa Msumbiji na Sweden - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Dk. Shein akutana na Balozi wa Msumbiji na Sweden

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana  na  Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Amour Zakaria aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Amour Zakaria aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Lennarth Hjelmaker,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa  Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Lennarth Hjelmaker,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa  Rais.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages