RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo Juni 7, 2012 katika Ikulu ya Dar es salaam amekutana na kuagana na Bw Robert J. Orr,  Balozi wa Canada nchini,  anayemaliza muda wake wa uwakilishi.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Bw Robert J. Orr,  Balozi wa Canada nchini,  anayemaliza muda wake wa uwakilishi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages