Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib
Fereji akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali
kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012
ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko kisiwani Pemba.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib
Fereji akifafanua jambo wakati akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia
vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya
Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika
huko Kisiwani Pemba.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib
Fereji akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali
kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo
kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.Picha na Yussuf
Simai,Maelezo-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)