Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Somalia
Mheshimiwa Sheikh Shariff Sheikh Ahmed
leo Mei 4, 2012 kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro, baada ya mgeni huyo kuhitimisha ziara yake ya siku mbili
nchini. Rais huyo wa Somalia alikuja nchini kwa mazungumzo na Mheshimiwa
Rais Kikwete ambapo alitoa shukurani zake kwa Tanzania kutokana na
misaada mbalimbali
ya kibinadamu iliyopata na inayoendelea kupata pamoja na kuisemea vyema
Somalia katika medani za Kimataifa na za Kikanda kila alipopata nafasi
hiyo. PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)