Warembo wa Redds Miss World Tanzania 2012 waingia Kambini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Warembo wa Redds Miss World Tanzania 2012 waingia Kambini

Washiriki wa shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa. Kutoka kulia ni Gloryblaca Mayowa (Lindi) Hamisa Hassan (Kinondoni) Queen Saleh (Ilala) Christine Willium (Iringa) Pendo Laizer (Arusha) Lisa Jensen (Mara) Mwajabu Juma (Temeke) Neema Saleh (Ilala) Jeneffer Kalolaki (Ilala) Stella Mbuge (Kinondoni).
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert  Makoye (kulia) na Miss Tanzania 2011, Salha Israel wakiwakaribisha warembo hao kambini hii leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages